Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani

Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani
kiungo : Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani

soma pia


Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mama Salma Kikwete (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Ndikilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga, Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete , Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey Polepole pamoja na viongozi wengine wa Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wa Kiserikali na Wabunge, akivuta kitambaa kuashiria jiwe la ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kuweka jiwe la ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.

Sehemu ya barabara ya Bagamoyo-Makofia –Msata kama inavyoonekana pichani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TANROADS mkoa wa Pwani na Dar es Salaam mara baada ya kufungua barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Ndikilo, Mama Salama Kikwete, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey Polepole pamoja na viongozi wengine wa Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.

Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akielezea hatua za ujenzi wa Madaraja katika barabara ya Bagamoyo-Msata huku Rais Dkt. Magufuli akimsikiliza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha Viuadudu cha Kibaha mkoani Pwani.

Mbunge wa Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa akisalimia kabla ya ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akizungumza kabla ya ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof. Norman Sigala wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla ya ufunguzi wa barabara hiyo ya Bagamoyo-Msata.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kufungua kiwanda cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda hicho cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kiwangwa wakati akielekea kufungua barabara ya bagamoyo-Msata mkoani Pwani. PICHA NA IKULU


Hivyo makala Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani

yaani makala yote Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/miundombinu-rais-dk-magufuli-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Miundombinu : Rais Dk. Magufuli Afungua Barabara ya Bagamoyo - Msata Km 64 na kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha Matunda cha Sayona, Chalinze Pwani"

Post a Comment