MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
kiungo : MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

soma pia


MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda amewataka wananchi, taasisi  na viongozi mbalimbali wenye uwezo kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa lengo la kuwakwamua na hali ya kiuchumi iliyopo kwa sasa.
Mwenda ameyasema hayo Jijini Dar es salaam jana katika hafla ya Idd aliyoindaa nyumbani kwake na kusheherekea na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha  Umra kilichopo Magomeni katika Manispaa ya Kinondoni.
Alisema pamoja na mambo mengine,kufanya hivyo ni kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli katika harakati zake za kimaendeleo anazozifanya.
Alisema viongozi wananchi pamoja na jamii kwa ujumla haina budi kuendana na dhamira aliyonayo Rais Magufuli ya Taifa kujikwamua kiuchumi hususani kipindi hiki anapofanya mambo mbalimbali ya kuliletea maendeleo.
 Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda akizungumza wakati wa  hafla ya Idd aliyoindaa  nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. na kusheherekea na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha  Umra kilichopo Magomeni katika Manispaa ya Kinondoni .
 Mratibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Imra James Gabon akitoa neno la shukrani mara baada ya kupokea msaada.
 Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda akiwakabidhi  watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha  Umra kilichopo Magomeni katika Manispaa ya Kinondoni .baadhi ya zawadi aliyowaandalia (kushoto) Mratibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Imra James Gabon.
 Mke wa Meya Mama Tausi Yusufu Mwenda (mwenye nguo ya bluu) akimkabidhi moja ya zawadi Bi.Nuhimu Iddi anayetoka katika kituo hicho.
 Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda akiwakabidhi zawadi watoto. Kwa habari kiamili BOFYA HAPA




Hivyo makala MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

yaani makala yote MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/meya-mstaafu-yusufu-mwenda-awataka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA MSTAAFU YUSUFU MWENDA AWATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU"

Post a Comment