Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi

Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi
kiungo : Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi

soma pia


Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi






Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.

Sheikh Mkuu Mufti waTanzania, Sheikh Abubakary Bin Zubery akishiriki Futari katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, jana.
Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay wakati wa Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya waumini wakishiriki Futari hiyo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akishiriki Futari hiyo

Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay akizungumza wakati wa halfa fupi ya Futari iliyoandaliwa kwa Waislamu wa mkoa wa Kilimanjaro na Benki hiyo .

Mwenyekiti wa Halmashari ya Bakwata Taifa, Alhaj Sheikh Hamis Mataka akizungumza kwa niaba ya Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania Abubakary Bin Zubery wakati wa Futari hiyo.

Sheakh Mkuu Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Bin Zubery akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongzi wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya Futari


Wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, wengine ni Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Aisha Amour na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe.


Hivyo makala Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi

yaani makala yote Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-sheikh-abubary-bin-zubeiry.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : Sheikh Abubary Bin Zubeiry Ashiriki Futari Mjini Moshi"

Post a Comment