title : MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
MwambawahabariKilanja Mkuu wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma Martha Linje akiongoza watoto wenzake kutoka shule mbalimbali za Jiji la Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwaka huu
Watoto wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma wakiongoza watoto wenzao kutoka shule mbalimbali za Jiji la Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwaka huu.
Baadhi ya watoto kutoka shule za msingi Jijini Dododoma wakiwa na mabango ya kupinga ukatili dhidi ya watoto kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwakahuu.
Mkurugenziwa Watoto kutokaWizarayaAfya, Maendeleo yaJamii, JinsiaWazee na Watoto pamoja na Mbungevitimaalumuambayealikuwamgenirasmiwakati wa uzinduzi wa MaoneshoyaSikuyaMtoto wa AfrikawakipatamaelekezokutokaMaofisa wa Plan International hawapopichanimarabaadayakutembeleamabandayamaonesho hayo.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-katika-pichakatika-maadhisho-ya.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA"
Post a Comment