Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu

Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu
kiungo : Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu

soma pia


Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (wa pili kulia), akifafanua jambo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi (kushoto) baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu Tawala huyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.

Baadhi ya Watumishi wa Mkoa wa Singida wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiongea na watumishi wa Mkoa wa Singida wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akipokea maoni na malalamiko yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya watumishi wa Mkoa wa Singida wakati wa kikao kazi na watumishi hao mkoani Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi.

Mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida akitoa maoni wakati wa kikao kazi na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifafanua jambo kwa mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida alipokuwa akisikiliza malalamiko ya mtumishi huyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.

Afisa TEHAMA Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais - Menejementi ya Utumishi wa Umma, Bi, Jeanfrida Mushumbusi akihakiki taarifa za mmoja wa watumishi kutoka mkoa wa Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.


Hivyo makala Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu

yaani makala yote Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-katibu-mkuu-utumishi-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : Katibu Mkuu, Utumishi akutana na Watumishi wa Mkoa wa Singida na Kuhimiza suala la Uadilifu"

Post a Comment