title : Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET
kiungo : Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET
Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET
Msanii wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) ameshinda tuzo ya BET (Black Entertainment Television) kipengele cha ‘Viewers Choice Best New International Act Artist’.
Kufuatia ushindi huo msanii Diamond Platnumz ambaye anaiongoza WCB amepongeza ushindi huo wa Rayvanny, amesema kuwa zaidi ya miaka mitatu tunaenda na kurudi patupu lakini safari hii si patupu tena kufuatia ushindi huo.
“Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! ….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME BOSS!!! @babutale”
“WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo #Wcb_Wasafi #WinningTeam!”
Hivyo makala Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET
yaani makala yote Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/maneno-ya-diamond-baada-ya-rayvanny.html
0 Response to "Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET"
Post a Comment