title : Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo
kiungo : Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo
Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo
Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumapili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring, Maryland.
Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment
Hivyo makala Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo
yaani makala yote Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kutoka-marekani-sala-ya-eid-el-fitr-dmv.html
0 Response to "Kutoka Marekani : Sala ya Eid El Fitr DMV Leo"
Post a Comment