IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu

IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu
kiungo : IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu

soma pia


IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu


Jeshi la Polisi linakabiliwa na changamoto mbalimbali.

 Kukosa ushirikiano kutoka kwa wananchi, malalamiko ya wapinzani, ujambazi, mauaji mkoani Pwani, rushwa, raia kujichukulia sheria mkononi na tabia za waendesha pikipiki za abiria ni baadhi ya changamoto nyingi zinazofahamika.

Lakini, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amechagua masuala matano tu ya kuanza nayo.

Rushwa, bodaboda kutotii sheria na kujihusisha katika uhalifu, uchelewaji upelelezi wa kesi, wananchi kuchukua sheria mkononi na mauaji katika wilaya za Mkuranga, Rufiji na Kibiti ni mambo ambayo IGP Sirro ameahidi kuanza nayo.

“Kuna kikundi cha watu wachache ambao wanafikiri wanaweza kufanya ule mkoa usiwe na amani,” alisema Sirro jana katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu aapishwe kuwa mkuu wa chombo hicho cha dola mwanzoni mwa wiki.

“Lakini niwaambie kwamba siku zote haki lazima itatoa majibu na niwahakikishie Watanzania kwamba suala la Ikwiriri na Rufiji ni la muda tu.”


Hivyo makala IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu

yaani makala yote IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/igp-sirro-ataja-vipaumbele-vyakeadai.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP Sirro Ataja Vipaumbele Vyake..Adai Haki Lazima Itatoa Majibu"

Post a Comment