title : Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
kiungo : Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 08/06/2017. 
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 08/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar pamoja na Viongozi wengine baada ya mazungumzo yalitofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 08/06/2017.

Hivyo makala Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
yaani makala yote Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/dkshein-azungumza-na-wauguzi-na-wakunga.html
0 Response to "Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga"
Post a Comment