Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara

Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara
kiungo : Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara

soma pia


Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara

Diamond na Wema Sepetu
Mwanamuziki Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yeye na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Sepetu huwasiliana mara kwa mara na mara kadhaa hukutana kwa siri sehemu ambazo hazina waandishi wa habari au watu wengi.

Akizungumza leo katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Diamond Platnumz amemwagia sifa mrembo huyo na kusema kuwa amekuwa msaada mkubwa sana kwake hata wakati anaandaa manukato yake ya Chibu (Chibu Perfume).

“Mimi na Wema Sepetu huwa tunawasiliana kwenye simu, na mara kadhaa hukutana sehemu ambazo hazina watu wengi, kwa sasa tumekua. Kila mmoja wetu kwa sasa anajikita kwenye uhusiano wake. Wema Sepetu ana familia yake, lakini uhusiano wetu umejikita katika kusaidiana kibiashara.”

Diamond Platnumz aliongeza kuwa, Wema Sepetu ndiye aliyemshauri kutumia maneno “The Scent You Deserve” kwenye manukato yake aliyoyatambulisha hivi karibuni.

Diamond Platnumz na Wema Sepetu walikuwa ni ‘couple’ iliyowavutia wengi Afrika Mashariki lakini waliachana Novemba 2014 baada ya kuwepo tuhuma za kuchepuka kutoka kila upande.


Hivyo makala Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara

yaani makala yote Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/diamond-afichua-siriadai-yeye-na-wema.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Diamond Afichua Siri..Adai Yeye na Wema Sepetu Hukutana Kwa Siri Mara Kwa Mara"

Post a Comment