title : Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam
kiungo : Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam
Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam
Ebby mwenye jezi nyeusi akiwatambulisha baadhi ya vijana wenzake wa Marafiki Charity kwa mmoja wa walezi wa kituo cha CHAKUWAMA wakati walipowasili hapo jana Juni 24.2017 katika tukio hilo la kuwafuturisha watoto hao wanaolelewa kituoni hapo.
Baadhi ya wanaumoja wa Marafiki Charity wakiwa kwenye pozi tofauti, akiwemo Devotha, Leah Mushi aliyembeba mtoto Malaika Ebby, Munira Hussen, Esther Namuhisa,na Pendo
Watoto hao wanaolelewa na kituo hicho cha CHAKUWAMA wakiwa kwenye foleni ya kupata futari hiyo maalum iliyoandaliwa na MARAFIKI CHARITY
Watoto hao wanaolelewa na kituo hicho cha CHAKUWAMA wakiwa kwenye foleni ya kupata futari hiyo maalum iliyoandaliwa na MARAFIKI CHARITY
Watoto hao wanaolelewa na kituo hicho cha CHAKUWAMA wakiwa kwenye foleni ya kupata futari hiyo maalum iliyoandaliwa na MARAFIKI CHARITY.
Hivyo makala Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam
yaani makala yote Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/asasi-ya-marafiki-charity-tz.html
0 Response to "Asasi ya MARAFIKI CHARITY TZ Wafuturisha watoto Yatima Dar es salaam"
Post a Comment