title : Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni.
kiungo : Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni.
Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni.
Wawa Zanzibar wahamia katika Jengo lao Jipya katika mtaa wa kikwajuni Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake. na kuaza kutowa huduma zake za magazeti katika jengo hilo. Kama linavyoonekana pichani.
Muonekano wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo likiwa katika muonekano wake wa kupendeza baada ya kukamilika ujenzi wake hivi karibuni na kuhamia rasmin kuaza kazi za utayarishaji wa magazeti yake ya Zanzibar leo na Zanzibar leo Jumapili.
Hivyo makala Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni.
yaani makala yote Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/zanzibar-leo-yahamia-jengo-lake-jipya.html
0 Response to "Zanzibar Leo Yahamia Jengo Lake Jipya la White House Kikwajuni."
Post a Comment