WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN
kiungo : WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN

soma pia


WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) (katikati), akipokea funguo za Magari aina ya Toyota Land Cruiser  kutoka kwa  Balozi wa Omani hapa nchini, Mhe. Ali Abdullah Al Mahruqi. Anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Ramadhan Mwinyi. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam leo. Baada ya kukabidhiwa magari hayo yenye thamani ya takriban milioni 400 za Tanzania, Waziri Mahiga alisema kuwa msaada huo umetolewa na Serikali ya Oman kwa ajili ya kusaidia masuala ya usafiri katika kipindi hiki cha mpito ambapo Serikali inahamia Dodoma. 
Waziri Mahiga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali na Wizara yake kwa ujumla mara baada ya kupokea msaada huo. 
Waziri akiendelea kuongea huku Watumishi wa Wizara yake wakimsikiliza kwa makini.
Balozi Al Mahruqi naye akizungumza na kuishukuru Tanzania kwa ushirikiano anaoumpata kwenye utendaji kazi wake hapa nchini. Alisema Serikali yake itaendelea kuisaidia Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwemo huduma za kijamii. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN

yaani makala yote WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wizara-ya-mambo-ya-nje-yapokea-msaada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN"

Post a Comment