title : WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
kiungo : WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
Aliyekuwa Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta ambaye anajiandaa kustaafu, Bw. Fortunatus Kapinga akizungumza wakati wa kuwatuza wafanyakazi hodari wa shirika. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu mpya, Deo Kwiyukwa na kulia ni Meneja wa Fedha, Cyprian Mugemuzi.
Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Bw. Deo Kwiyukwa akiwa na baadhi ya watendaji washirika hilo, wakiimba wimbo wa wafanyakazi wa mshikamano.
Mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Posta, Zainabu Ukwaju akigogesha glasi na Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa.
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la Posta wakiwa katika hafla ya kuwatunuku wafanyakazi hodari.
Hivyo makala WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
yaani makala yote WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wafanyakazi-wa-shirika-la-posta.html
0 Response to "WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI"
Post a Comment