title : Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32
kiungo : Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32
Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32
Wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wakiwa bungeni wamekubaliana kwa kauli moja kuwa posho za kila mbunge kwa siku ya leo zipelekwe kwa wazazi wa wanafunzi waliofariki kwa ajali ya basi la Shule ya awali na Msingi ya Lucky Vincent
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji mbalimbali kuaga miili 35 ya marehemu katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mbali na Makamu wa Rais pia viongozi mbalimbali wa Serikali wamewasili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa ajali Arusha.
Hivyo makala Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32
yaani makala yote Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wabunge-wameafiki-kutoa-posho-zao-za.html
0 Response to "Wabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia zilizopoteza Watoto katika Ajali iliyoua Wanafunzi 32"
Post a Comment