title : Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja
kiungo : Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Upepo mkali uliovuma shehia ya Fukuchani, wilaya ya Kaskazini “A” Unguja umeharibu nyumba sita na kusababisha baadhi ya familia kukosa makaazi.
Wakizungumza na ZBC waathirika wa tukio pamoja a wananchi wengine wamesema upepo huo uliovuma majira ya saa tatu asubuhi umeathiri shughuli zao kutokana na kuezuka mapaa ya nyumba na kusababisha usumbufu.
Sheha wa shehia ya Fukuchani Haji Makame Atoshea amewataka wakaazi wa shehia hiyo kuwa na tahadhari katika kipindi hiki cha upepo ambao unaweza kuleta maafa zaidi.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja mh. Vuai Mwinyi Mohammed amewatembelea waathirika wa tukio hilo na kuwataka wawe na subira huku serikali ikichukuwa juhudi za namna ya kuweza kuwasaidia.
Hivyo makala Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja
yaani makala yote Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/upepo-m-kali-waharibu-nyumba-sita.html
0 Response to "Upepo m kali waharibu nyumba sita Fukuchani , Wilaya ya Kaskazini A Unguja"
Post a Comment