NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
kiungo : NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

soma pia


NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana, aliyekuja kuzungumza nae na kubadilishana uzoefu wa kazi, kabla ya kuanza kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana (wa pili kulia).
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan Bishanga (wa pili kushoto) akizungumza leo katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

yaani makala yote NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/naibu-spika-wa-bunge-akutana-na-ugeni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO"

Post a Comment