Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa

Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa
kiungo : Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa

soma pia


Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa

http://ift.tt/2pvaY1j
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles Mkumbo amesema wanamshikilia mmiliki wa basi dogo aina ya Coaster ambayo ilipata ajali na kusababisha vifo kwa wanafunzi, walimu na dereva wa shule ya siku ya Lucky Vincent  Jumamosi huko Karatu, Arusha.

RPC Mkumbo amedai wanamshikilia mmiliki wa shule hiyo kwa kuruhusu gari yake hiyo kubeba abiria wengi zaidi kuliko uwezo wa gari

"Siku ya tukio walikuwepo abiria 38 kwenye gari katika uchunguzi baada ya kubaini hilo tumeshachukua hatua kwa mtu aliyewezesha gari hilo kupakia hao watu, tumeshamkamata mmiliki wa gari ambaye ndiye mwenye shule hii, sasa hivi tunaendelea na uchunguzi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani" alisema RPC wa Arusha

Kwa mujibu wa Mkumbo anasema gari hiyo ilikuwa na kibali cha kubeba watu 30 lakini gari hiyo siku ya ajali ilikuwa na watu zaidi ya 30.


Hivyo makala Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa

yaani makala yote Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mmiliki-wa-shule-ya-lucky-vincent.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Ambayo Wanafunzi 35 Walifariki Kwa Ajali Akamatwa"

Post a Comment