MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017.

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017.
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017.

Mwambawahabari

ZUN1
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
MABEYO
Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa na wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Florens Turuka na Naibu Katibu Mkuu Imaculate Ngwalle,Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo,Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibolwa na Meja Jenerali Michael Isamuhyo wa JKT wakiwa katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei.
ZUN2
: Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibolwa akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Michael Isamuhyo katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.

ZUN3
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibolwa wakizungumza jambo na Viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama leo katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.
ZUN4
Mbunge wa Kavuu(CCM) Mhe,Dkt Pudencia Wilfred akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
ZUN5
Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
ZUN6
Mbunge wa Muhambwe (CCM) Mhe,Eng Atashasta Justus akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
ZUN7
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Josephine Genzabuke akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
ZUN8
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akifafanua jambo katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
ZUN9
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Suzan Kolimba na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angela Mabula katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei.
ZUN10
Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
ZUN11
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Martha Mlata akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11 leo Mjini Dodoma Mei.
ZUN12
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Halima Bulembo  akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11 leo Mjini Dodoma Mei.
ZUN13
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
ZUN15
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akisoma hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_16.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017."

Post a Comment