title : Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa
kiungo : Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa
Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe Riziki Juma Pemba leo ametangaza rasmi kuzifunga skuli zote za serikali na binafsi kuanzia kesho Jumatano tarehe 10 Mei hadi tarehe 15 siku ya Jumatatu.
Sababu kubwa ya kufungwa maskuli ni kutokana na kuendelea kunyesha mvua kubwa katika visiwa vya Unguja na Pemba na hivyo kusababisha kujaa maji maeneo mbali mbali ambayo na kuwepo uwezekano wa kuleta athari
Tangazo hili haliwahusu wanafunzi wote wanaofanya mtihani ya kidato cha sita. Wanafunzi hawa watatakiwa kwenda kama kawaida kwenye vituo vyao vya mitihani kwa kuendelea kufanya mitihani
Chanzo ZBC Radio
Hivyo makala Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa
yaani makala yote Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/maskuli-yote-kufungwa-kuanzia-kesho.html
0 Response to "Maskuli yote kufungwa kuanzia kesho kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa"
Post a Comment