title : Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.
kiungo : Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.
Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.
Rais wa Hospitali ya Wuxi no 2 ya Jamuhuri ya Watu wa China,Dk.Cao Yue Zing akimkabidhi vifaa Mwakilishi wa Wizara ya Afya Pemba Dk Ali Omar Mbarawa vifaa vya kisasa, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya Abdulla Mzee Mkoani Pemba,
Rais wa Hospitali ya Wuxi no 2 ya Jamuhuri ya Watu wa China,Dk.Cao Yue Zing akimkabidhi vifaa Mwakilishi wa Wizara ya Afya Pemba Dk Ali Omar Mbarawa vifaa vya kisasa, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya Abdulla Mzee Mkoani Pemba,Ofisa wa Wizara ya Afya Pemba Dk:Ali Omar Mbarawa akiwa na Rais wa Hospitali ya Wuxi no 2 ya Watu wa Jamuhuri ya China Dk.Cao Yue Zing. wakiondoa kipazia kuashiria kuzindua Kituo cha Mafunzo cha Mpango wa Upasuaji Mdogo katika Hospitali ya Abdallah Mzee Pemba kutowa huduma hiyo kwa wananchi ya upasuaji mdogo. .
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa ya Abdulla Mzee Mkoani Pemba, dk Haji Mwita Haji, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhiwa vifaa vya mafunzo ya upasuaji mdogo kwa ajili ya wanaovunjika mifupa, kutoka hospitali ya Wuxi no 2 ya watu wa China, ambapo vifaa hivyo kwa Afrika Mashiriki pekee, vipo hospitalini hapo
Madaktari Bingwa kutoka Jamuhuri ya Watu wa China wanaotowa huduma za matibabu katika Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Hospitali hiyo.(Picha na Haji Nassor -Pemba)
Hivyo makala Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba.
yaani makala yote Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/madaktari-wa-kichina-wakabidhi-vifaa.html
0 Response to "Madaktari wa Kichina Wakabidhi Vifaa Vya Kisasa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba."
Post a Comment