KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA

KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA
kiungo : KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA

soma pia


KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA

Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bernard Konga (kulia) akitembelea Zahanati ya Bunge ambapo Mfuko umepeleka Madaktari Bingwa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za Kitaalam. 

Mfuko unao utaratibu wa kupeleka watalaam hao katika maeneo mbalimbali na hivi karibuni Mfuko utapeleka watalaam katika baadhi ya mikoa ya pembezoni.

Bw. Konga amewaomba Watanzania kuendelea kuunga mkono Mfuko ili uweze kutimiza malengo yake ya kuwahudumia wanachama na wananchi kwa ujumla.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akijadili jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bernard Konga ambaye yuko mjini Dodoma ambapo Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,  Jinsia, Wazee na Watoto leo itahitimisha uwasilishwaji wa bajeti yake.  Wabunge wameiomba Serikali kuhakikisha inaweka utaratibu mzuri utakaowawezesha wananchi wengi zaidi kujiunga na NHIF.
Spika wa Bunge Job Ndugai akiteta na maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.


Hivyo makala KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA

yaani makala yote KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/kaimu-mkurugenzi-mkuu-nhif-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAIMU MKURUGENZI MKUU NHIF ATEMBELEA ZAHANATI YA BUNGE MJINI DODOMA"

Post a Comment