title : ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
kiungo : ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
MwambawahabariSimba wanatakiwa kushinda zaidi ya mabao nane katika mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu huku wakiomba Yanga ipoteza kwa zaidi ya mabao matano dhidi ya Mbao FC mjini Mwanza ili wao wawe mabingwa.
Lakini hiyo haiwakatishi Simba tamaa na hawataki kusikia Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa kabla ya mechi yao ya mwisho wao wakiwavaa Mwadui FC jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ amesisitiza bado wanataka kuona matokeo hadi mechi ya mwisho.
“Sisi tunajua bingwa bado hajapatikana na tutaona hadi katika mechi ya mwisho. Tutapambana hadi tone la mwisho.
“Hatuwezi kukata tamaa, huu ni mpira na vijana wako vizuri kabisa,” alisema akionyesha kujiamini.
Hivyo makala ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
yaani makala yote ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/kaburu-yanga-wanashangilia-ubingwa.html
0 Response to "‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL"
Post a Comment