title : JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA
kiungo : JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA
JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA
Mtanzania anaejulika katika mitandao ya kjamii kwa mbwembwe za kutumia pesa, Jack Pemba, amejikuta akiwa katika selo za nchini Uganda kwa kosa la kutakatisha pesa.
Msemaji wa jeshi la Polisi Nchini Uganda, Asan Kasingye, amesema kuwa Jack Pemba amekamatwa, na kuongeza, wakati akitaka kukamatwa, alijaribu kutoroka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe.
Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Monitoring, inadaiwa kuwa kulisambazwa kwa picha zikimuonesha Mtanzania huyo anayeishi Uganda akigawa pesa katika matamasha ya muziki, na hivyo kutiliwa shaka juu ya chanzo cha utajiri wake.
Hivyo makala JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA
yaani makala yote JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/jack-pemba-atiwa-mbaroni-huko-uganda.html
0 Response to "JACK PEMBA ATIWA MBARONI HUKO UGANDA KISA HIKI HAPA"
Post a Comment