DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR

DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR
kiungo : DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR

soma pia


DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR

 Kampuni ya Coco- Cola Kwanza kupitia Maji ya Dasani imedhamini mashindano ya riadha marathon ‘Dasani Marathon’ itakayofanyika Mei 14 jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Coca –Cola Kwanza , Nalaka Hattiachchi , amesema kampuni imedhamini mbio hizo ili kuweza kuchochea riadhaa nchini.

Amesema kuwa wanariadhaa wanaotakiwa kushiriki mbio za Kilomita 10 na 21 na tayari usajili umeanza kufanyika kwa kuwa washiriki 1000.
Rais wa Dar Running Club, Goodluck Elvis amesema mbio hizo zilianza miaka mitatu iliyopita na zimeendelea kwa kuibua wanariadha wengi ambao baadaye wanaweza kuleta historia ya nchi kama ilivyokuwa.

Mshindi wa Dasani Maradho wa kwanza atapata sh. Milioni mbili na wa pili atapata sh.700000 na zawadi mbalimbali zitatolewa na washiriki wanatakiwa kujisajili kwa sh.30000 kulipa kwa M-pesa 243388.
Vituo vya kujiandikisha Colosseum Gym, Masaki,Shoppers Supermarket , Mikocheni na Mlimani City.

Mwanariadha Mkongwe Juma Ikangaa amesema kuwa watu wakiwa tayari kwa kujitoa katika kushiriki riadhaa wanaweza kuwa na rekodi katika dunia.Amesema kinachotakiwa katika ushiriki ni kujiandaa na kuwa na tamaa ya kupata ushindi bila kufanya hivyo riadha itakuwa jina kwa Tanzania.
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Coca Cola Kwanza , Nalaka Hattiachchi akizungumza na waandishi habari juu ya udhamini kampuni hiyo katika Dasani maradhoni, kushoto ni Rais Dar Running Club , Goodluck Elvis Kulia Mwanariadha Mkongwe , Jumaa Ikangaa.
 
 


Hivyo makala DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR

yaani makala yote DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/dasani-marathon-kufanyika-mei-142017.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR"

Post a Comment