title : CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA
kiungo : CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA
CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kunduchi Beach, Jijini Dar es salaam leo, juu ya kuwepo kwa Mkutano Mkuu wa wanahisa wa Benki hiyo, unaotaraji kufanyika Mei 20, 2017 Jijini Arusha. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay na kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu anaeshughulikia Huduma Shirikisho katika Benki hiyo, Esther Kitoka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akionyesha kitabu cha ripoti ya Mwaka kwa waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kunduchi Beach, Jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay na kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu anaeshughulikia Huduma Shirikisho katika Benki hiyo, Esther Kitoka.
Hivyo makala CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA
yaani makala yote CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/crdb-bank-kufanya-mkutano-wake-mkuu-mei.html
0 Response to "CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA"
Post a Comment