BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO

BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO
kiungo : BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO

soma pia


BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO

Mwambawahabari

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa kuna ajali imetokea muda huu katika eneo la Rhotia Wilaya ya  Karatu Mkoani Manyara, iliyohusisha Basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St Lucky ya jijini Arusha, inayodaiwa kuwa ilipoteza mueleo na kupinduka wakati wakiwa safarini kuelekea Karatu waliokuwa wakienda kufanya mitihani na wanafunzi wenzao wa Shule ya Tumaini English Medium ya Karatu. Inadaiwa kuwa wanafunzi zaidi ya 20 na walimu wao wamepoteza maisha huku wengine wakiwa wamejeruhiwa. jitihada za kumtafunda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara zinaendea ili kupata kauli yake juu ya ajali hii. Pichani ni baadhi ya wasamalia wakitoa msaada wa uokozi kwa wanafunzi hao.

Zoezi la uokoaji likiendelea.


Hivyo makala BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO

yaani makala yote BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/breaking-nyuzzzzzz-wanafunzi-zaidi-ya_6.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU LEO"

Post a Comment