Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi

Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi
kiungo : Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi

soma pia


Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi

Mkuu wa masoko wa  Benk ya TIB Corporate ltd  Bi. Theresia Soka akipokea hati ya shukran toka Kwa mgeni rasmi Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudiwa na Waziri wa Ujenzi na uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa bodi ya makandarasi Mama Consolata Ngimbwa na  msajili mkuu wa  bodi ya makandarasi Bw. Reuben  Nkori. Hiyo ikiwa ni baada ya kudhamini mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya  kikwete convention center  mjini Dodoma leo. 
TIB corporate ni benki  ya biashara  inayotoa huduma mbalimbali za kibenki katika sekta mbali mbali. Kupitia benki hiyo, Makandarasi wanapatiwa huduma mbalimbali kama vile project financing, overdraft na bank guarantees, unsecured bid bonds, advance payment guarantees na performance guarantees.


Hivyo makala Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi

yaani makala yote Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/benk-ya-tib-corporate-ltd-yadhamini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya Makandarasi"

Post a Comment