title : Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha
kiungo : Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha
Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha
Polisi yathibitisha wanafunzi 31 kufariki katika ajali Arusha
Kamanda wa Polisi, mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema zaidi ya wanafunzi 31 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent - Arusha na walimu 4 wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, ulipo mto Mlera. Wanafunzi hao walikuwa wanasafiri kwa ajili ya mtihani wa kujipima na Shule ya Jirani ya Tumaini Junior Academy iliopo wiliyani Karatu , ndipo Umauti huo ulivyowapata.
Mungu aendelee kuwafariji Wazazi, Walimu na Watanzania Wote kwa Ujumla . Bwana Alitoa ,na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
Wakati huo huo Rais Magufuli ametoa Salamu za rambirambi .

Hivyo makala Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha
yaani makala yote Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ajali-zaidi-ya-wanafunzi-30-wa-shule-ya.html
0 Response to "Ajali: Zaidi ya Wanafunzi 30 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent Wafariki Dunia , Karatu Arusha"
Post a Comment