title : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017.
kiungo : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017.
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mhe. Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Mhe. Dkt Getrude Rwakatare vifaa vya kazi mara baada ya kumuapisha kuwa Mbunge leo Aprili 20, 2017 Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali katika kikao cha tisa cha Mkutano wa kumi wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017.
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/yaliyojiri-katika-kikao-cha-kumi.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 20, 2017."
Post a Comment