title : Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi
kiungo : Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba akijibu swali la Mhe. Raisa Adallah Musa Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mapema leo asubuhi, amesema kuwa Wizara kwa kutumia bajeti ya maendeleo ya Serikali na vyanzo vingine vya mapato inaendelea kutekeleza mkakati wa kurekebisha na kuboresha miundombinu ya Ofisi za Balozi na makazi ya watumishi wa ubalozini katika maeneo mbalimbali yenye uwakilishi Duniani.
Mkakati huu unahusisha ukarabati wa majengo yaliyopo, ujenzi wa majengo mapya, sambamba na ununuzi wa majengo mapya. Mkakati huu unaanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha ujao 2017/2018.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba akijibu maswali kutoka kwa Waheshimiwa Wabunge katika Kikao cha Bunge kwenye kipindi cha maswali na majibu
Hivyo makala Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi
yaani makala yote Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/wizara-ya-mambo-ya-nje-na-ushirikiano.html
0 Response to "Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yajidhatiti kukarabati miundombinu ya Ofisi za Balozi"
Post a Comment