WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI

WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI

Asisitiza vyombo vya dola vipewe muda wa kufanya uchunguzi wa matukio ya kihalifu.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kuiamini Serikali yao na kuvipa muda vyombo vya dola kuendelea kufanya uchunguzi dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu yaliyotokea nchini ili kubaini chanzo cha matatizo na wahusika.

Aidha, Waziri Mkuu ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea na utamaduni wa kushirikiana na vyombo vya dola kwa kutoa taarifa pindi vinapotokea vitendo vya kihalifu au viashiria vyake katika maeneo mbalimbali nchini.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Aprili 20, 2017) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mheshimiwa Freeman Mbowe aliyetaka kupata kauli ya Serikali juu ya hofu iliyotawala nchini kuhusu vitendo vya watu kuuliwa, kupotea na kutekwa.

Waziri mkuu amesema “tukitoa taarifa mapema tunaweza kuharibu upelelezi, tuviachie vyombo vetu vya dola viendelee kufuatilia kuona nani anayesababisha vitendo hivyo na dosari iko wapi na nini chanzo chake alisisitiza,”.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe,  (kulia) bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/waziri-mkuu-majaliwa-watanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA - WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI"

Post a Comment