SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA

SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA
kiungo : SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA

soma pia


SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA

Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, kesho Jumamosi inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gabon katika Viwanja vya Shirikisho la Soka Morocco (FRMF) nchini Morocco.
Serengeti Boys inajiandaa na fainali za mataifa Afrika kwa vijana zinazotarajiwa kuanza Mei 14, mwaka huu nchini Gabon ambapo wamepangwa Kundi B sambamba na Niger, Angola na Ethiopia.
Akizungumza kutoka kambini nchini Morocco, Shime alisema lengo la mchezo huo ni kuangalia mapungufu ya kikosi chake kabla ya kulekea nchini  Gabon tayari kwa mashindano hayo.
“Tunashukuru maandalizi yapo vizuri na kila kitu kipo sawa, vijana wako na ari kubwa kabisa na wako tayari kwa mchezo wa Jumamosi dhidi ya Gabon ambao ndiyo  wenyeji wa michuano hiyo, naamini itatusaidia kujua aina ya timu tunazoenda kucheza nazo, hivyo kwetu ni jambo zuri.
“Hii mechi itasaidia kutambua mapungufu ya wachezaji wangu kabla ya kurudiana nao Aprili 25 kwa sababu baada ya kucheza na Ghana nyumbani hatukucheza mchezo wowote,” alisema Shime.


Hivyo makala SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA

yaani makala yote SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/serengeti-boys-kuivaa-gabon-leo-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERENGETI BOYS KUIVAA GABON LEO NCHINI MOROCCO MECHI YA KIMATAIFA"

Post a Comment