title : MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR
kiungo : MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR
MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR
Simba imepeleka maombi kwa Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro kuomba kuandamana.
Simba kupitia Rais wake, Evans Aveva imeomba kuandamana ili kufikisha ujumbe kwa TFF ambayo wanaamini imekuwa haiwatendei haki.
Katika barua yake kwenda kwa Siro, Aveva amesisitiza maandamano hayo yatakuwa ya amani ili kufikisha ujumbe wao.
Hivyo makala MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR
yaani makala yote MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mashabiki-wanachama-viongozi-wa-simba.html
0 Response to "MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR"
Post a Comment