title : Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga
kiungo : Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga
Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga
Balozi wa Norway hapa nchini, Mhe. Hanne-Marie akiongea katika hafla ya fupi ya makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na Kituo cha Tanga International Conference Centre (TICC), Shighela alisema vita ya madawa itakuwa endelevu.
MKUU wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shighela akizungumza katika hafla ya fupi ya makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na Kituo cha Tanga International Conference Centre (TICC), Shighela alisema vita ya madawa itakuwa endelevu.
vita ya madawa itakuwa endelevu.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighela (katikati), Balozi wa Norway wa kwanza kulia, Hanne-Marie Karstand na Mganga Mkuu wa Mkoa, Asha Mahita (kushoto) wakifungua jengo la Afya ya Akili hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na kituo cha Tanga International Comperence Centre Tanga.
Hivyo makala Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga
yaani makala yote Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/makabidhiano-ya-jengo-la-afya-ya-akili.html
0 Response to "Makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga"
Post a Comment