BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI

BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI
kiungo : BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI

soma pia


BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Hatimaye kamati  ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekaa leo na kumsikiliza beki wa Simba Abdi Banda aliyesimamishwa na kamati ya saa 72 baada ya klabu ya Kagera Sugar kutuma malalamiko dhidi yake.


Kamati hiyo, imefikia maamuzi ya kumfungia  mechi mbili kwa kosa la kumpiga ngumi kiungo wa Kagera Sugar, George Kavilla Aprili 2, mwaka huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.


Adhabu hiyo inamuweka huru Banda kuweza kuendelea kucheza mechi tatu zilizosalia za timu hiyo baada ya kuwa nje kwa mechi mbili dhidi ya Mbao na Toto Africa zilizochezwa mapema wiki iliyopita.

Katika mchezo huo dhidi ya Kagera Banda alimpiga ngumi Kavila pasi na kuwa na mpira lakini mwamuzi wa mchezo huo hakumpa kadi na kupelekea adhabu yake kuwa nyepesi kulingana na ushahidi alioupeleka katika kamati hiyo.

Kamati iliweza kubaini kuwa Banda  hakupewa adhabu yoyote na refa kwa sababu hakuona tukio hilo, alifanya kitendo cha aina hiyo kwenye mechi namba 169 kati ya Simba na Yanga iliyofanyika Februari 25, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam akimpiga kiungo Said Juma ‘Makapu’.


Awali, Klabu ya Kagera Sugar iliwasilisha malalamiko dhidi ya kitendo cha beki wa Simba, Abdi Banda kumpiga ngumi kiungo wao George Kavilla wakati akiwa hana mpira, na Mwamuzi wa mechi hiyo kutochukua hatua yoyote.



Hivyo makala BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI

yaani makala yote BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/banda-ruksa-kuichezea-simba-mechi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI"

Post a Comment