title : RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA
RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzeee Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwake Maisara Zanzibar , kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019. (Picha na Ikulu)
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo wakati alipofika nyumbani kwake maisara Zanzibar kumjulia hali leo 8-1-2019, wakitoka baada ya mazungumzo yao.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipofika nyumbani kwake maisara Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019.wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo hayo.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-shein-amtembelea-mzee-ali.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AMTEMBELEA MZEE ALI HASSAM MWINYI NYUMBANI KWAKE MAISARA"
Post a Comment