MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI

MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI
kiungo : MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI

soma pia


MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI

Na Karama Kenyunko globu ya Jamii. 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeutaka upande wa mashtaka kuhakikisha kuwa upelelezi katika kesi inayomkabili msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu, unakamilika kwa wakati, ili kesi iweze kuendelea.

Uamuzi huo umetolewa leo, Januari 28, 2019 na Hakimu Mkazi, Maira Kasonde, wakati kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa na upande wa mashtaka kudai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika.

"Nataka upande wa mashtaka mkamilishe kwa wakati upelelezi ili kesi iweze kuendelea, kwa sababu ni kesi ya muda mrefu tangu ilipofunguliwa Mahakamani hapa Novemba mwaka jana na mpaka sasa upelelezi bado, ?" Alihoji.

Hakimu Kasonde ameaihirisha kesi hiyo hadi Februari 13, 2019 kesi hiyo itakapotajwa na kuwataka upande wa mashtaka kuhakikisha wanakamilisha upelelezi wao kwa wakati.

Wema ambaye ni Miss Tanzania 2006. alifikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo Novemba Mosi, 2018, kujibu shtaka hilo la kuchapisha video ya ngono na kuisambaza kwenye mtandao ya kijamii. 

Katika kesi ya msingi, Wema anadaiwa kuwa Oktoba 15, 2018 katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam alichapisha video ya ngono na kusambaza  katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram.


Hivyo makala MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI

yaani makala yote MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mahakama-yaitaka-upande-wa-mashtaka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA YAITAKA UPANDE WA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU UNAKAMILIKA KWA WAKATI"

Post a Comment