title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia )katika picha ya pamoja na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli (wa pili kushoto) mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni Mhe. Amina Makilagi na Kulia ni Mhe. Lolesia Bukwimba.
PICHA NA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na_9.html

0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI"
Post a Comment