CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?.

CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?.
kiungo : CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?.

soma pia


CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?.






Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda jana Novemba 4, 2018 aliangua kilio kwa mara nyingine kanisani aliposhiriki ibada ya Jumapili kwenye Kanisa la Efatha lililoko Mwenge jijini Dar es Salaam.

Kiongozi huyo wa Jiji la Dar es Salaam aliangua kilio hicho baada ya kupewa nafasi na Mchungaji Kiongozi wa kanisa hilo, Josephat Mwingira ya kuwasalimia waumini.

Baada ya salamu, Makonda alianza kwa kueleza kuwa lengo la kufika kwake kanisani hapo ni kuwaomba waumini wa kanisa na mchungaji wake, kumsaidia kimaombi katika vita dhidi ya vitendo vya ushoga, usagaji na matukio mengine maovu yanayoendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Alisema siri ya ushindi wake katika vita zote ambazo amekuwa akipambana nazo ni kumtegemea Mungu, akieleza kuwa anaamini hata katika vita hiyo atashinda kwa sababu amemkabidhi Mungu.

"Jambo ambalo ninaomba kwako mtumishi (Mwingira) pamoja na kanisa, wiki hii nimefikiria mambo mengi sana, pamoja na kwamba tunafanya kazi na kusimamia sheria lakini tunasahau kwamba na Mungu yupo," alisema Makonda na kuongeza: "Tunaweza kuwa na bidii sana ya kuhakikisha tunafanya mambo mazuri ya kumpendezesha Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, lakini tukasahau Mungu ambaye hutupa nguvu na uwezo wa kufanya kazi hizo.

"Utaonekana umefanikiwa, umefanya kazi nzuri, lakini je, umefanya kazi ambayo Mungu alitaka ufanye ya kumpendeza?" 

Alisema kuwa pamoja na kufanya kazi ya serikali, kwa upande mwingine anapaswa kuhakikisha mkoa wake unakuwa ni sehemu safi na salama na kumpendeza Mungu kwa kuhakikisha hakukithiri maovu.

“Na ndiyo maana niliamua kuingia kwenye vita hata ya dawa za kulevya, ninyi mnajua kwamba ukipewa madaraka ya uongozi, Mungu anakutazama kwanza wewe kama ambavyo sasa hivi Mungu akiitazama Tanzania anamwona Rais John Magufuli, ndivyo ambavyo akiutazama Mkoa wa Dar es Salaam, anamwona Makonda," alisema.

“Mungu akinitazama anaangalia ushoga unaongezeka, akiangalia anaona mateja barabarani nao wanaongezeka, unafikiri Mungu atakuwa na furaha na mimi? Ndiyo maana nimekuja kuomba ‘toba’ kwa ajili ya mkoa wangu," alieleza zaidi Makonda huku akibubujikwa na machozi.

Makonda alidumu katika hali hiyo ya kububujikwa na machozi kwa takribani robo saa 15 na aliendelea kuzungumza katika hali hiyo, akiomba msaada na nguvu ya Mungu katika kufanikisha vita hiyo ya kuhakiksha Dar es Salaam inakuwa salama.

“Eee Mungu naomba toba kwa ajili ya mkoa wangu, nahitaji uniongoze, nahitaji nguvu, sheria zipo lakini watu hawaziangalii, watu wanafanya uzinzi wala hawaogopi, nahitaji mkono wa Mungu," sauti ya Makonda ilisikika akisali kanisani hapo. 

Baada ya kuanza kubugujikwa na machozi Makonda alipiga magoti, jambo ambalo lilimwinua Mchungaji Mwingira ambaye alianza kumwombea akishirikiana na waumini wake.

Katika maombi yake, mchungaji huyo alisema amebaini kiongozi huyo alikuwa anakabiliwa na makundi matatu ambayo yalikuwa yamepanga njama kumwangamiza.

“Siyo rahisi kwa kiongozi wa serikali kumwaga machozi mbele za watu, Mungu amesikia kilio chako, hata kama kulikuwa na makosa uliyoyafanya Mungu amekusaheme kwa sababu yeye husamehe," alisema Mwingira akiwa amemgusa kichwani Makonda.

“Na nimebaini kwamba kulikuwa na makundi matatu ambayo yalikuwa yamepanga njama ya kukuangamiza, lakini kwa maombi haya utakuwa salama, ulinzi wa Mungu uko juu yako." 

Baada ya kufanyiwa maombi katika kanisa hilo, Makonda alikwenda katika Kanisa la Victory Chiristian Center Tabernacle (VCCT) lililopo Kawe jijini ambako pia alimwomba mchungaji na waumini nao washirikiane naye katika maombi juu ya vita hiyo ya kuisafisha Dar es Salaam.


Makonda alisema vita hiyo aliyoianzisha ni ya Watanzania wa dini zote na si yake pekee, hivyo akaomba washirikiane naye.

“Nataka ifike mahali hata wachawi waogope kukaa katika Mkoa wa Dar es Salaam, tunataka mkoa huu ubaki salama kwa ajili ya shughuli za kibiashara tu na si uhalifu wala uovu wa aina yoyote.


Na kwa taarifa nilizonazo ni kwamba tayari baadhi ya mashoga wameanza kukimbia kwenda nchi za jirani na mikoa mingine," alisema Makonda.

Wakati wa kampeni yake ya kupambana na matumizi na biashara ya dawa za kulevya, Makonda alilia hadharani Machi mwaka jana kwenye Kanisa la KKKT Kimara jijini Dar alikokuwa akishiriki ibada ya Jumapili.


Hivyo makala CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?.

yaani makala yote CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/chozi-la-makonda-dhidi-ya-ushoga.html

Subscribe to receive free email updates:

2 Responses to "CHOZI LA MAKONDA DHIDI YA USHOGA, LITAMWACHA MTU SALAMA?."

  1. HAPI NDIYO MAJIFUNI YANGU KUFANYA NINI NIPO NIFUNA LOAN YANGU
    Jina langu ni Mr FRANK QUEENS raia wa Marekani. nimekuwa
    iliyopigwa na 6 wavuti wa kimataifa wa mtandao wa kimataifa, wote
    ananipa mkopo baada ya kunifanya kulipa ada kadhaa
    wala kutoa chochote na hakuwa na matokeo mazuri. nilipoteza ngumu yangu
    pata pesa. Siku moja nilikuwa nikivinjari kupitia mtandao
    machozi juu ya jicho langu nilipata ushuhuda wa mtu ambaye pia alikuwa
    iliharibiwa na hatimaye ikaunganishwa na kampuni ya mkopo yenye haki inayoitwa TRIUMPH LOAN SERVICES (triumphleeb89@gmail.com au whatsapp +2349057770649) ambako
    hatimaye kupata mkopo wake, kwa hiyo niliamua kuwasiliana na kampuni hiyo ya mkopo
    na kisha akawaambia hadithi yangu juu ya jinsi nilivyopigwa na 6
    wakopaji tofauti ambao hawakufanya chochote bali kunisababisha maumivu zaidi. Mimi
    kuelezea kampuni kwa njia ya barua na wote waliniambia ni kulia
    zaidi kwa sababu nitapata mkopo wangu katika kampuni yao na pia nina
    alifanya uchaguzi sahihi wa kuwasiliana nao. nilijaza mkopo
    fomu ya maombi na kuendelea na yote yaliyoombwa kwangu
    na nilipewa kiasi cha mkopo cha Dola 210,000 kwa hii kubwa
    Kampuni (TRIUMPH LOAN SERVICES) imesimamiwa na Mr CARLO JOEL
    na hapa nina furaha leo kwa sababu JOHNSON LOAN SERVICES ina
    alinipa mkopo hivyo nimefanya nadhiri kwa nafsi yangu kwamba nitashika
    kushuhudia kwenye mtandao jinsi nilivyopata mkopo wangu. Unahitaji mkopo
    haraka kwa haraka na kwa haraka Wasiliana na huduma za JOHNSON LOAN sasa kwa
    mkopo wako kupitia barua pepe: triumphleeb89@gmail.com au whatsapp +2349057770649
    CONTACT
    JOHNSON LOAN SERVICES
    Barua pepe: triumphleeb89@gmail.com au whatsapp +2349057770649

    ReplyDelete
  2. Pata mkopo wako sasa ndani ya masaa 48

    Siku njema

    Je! Unataka kuwa mjasiriamali, kuanza mradi au kununua nyumba au wewe ni katika kurekebisha fedha, msaada wako unakuja sasa, umepoteza ndoto yako, kujaribu kupata tayari, usiruhusu ndoto zako kufa, wasiliana na Mr. Fred zaidi, kwa mkopo wa haraka na wa kuaminika.

    Tunatoa aina hii ya mkopo chini:

    Mkopo wa biashara 1

    biashara
    mkopo wa tatu ghorofa

    mkopo 4. auto

    mkopo 5. mkopo wa mkopo, nk.

    Tunatoa mikopo kwa wateja wenye dhati na waaminifu ambao wako tayari kushirikiana nasi na kiwango cha riba cha 3%, kuanzia 100,000.00 hadi 500,000,000,000.00.

    Wasiliana nasi haraka kupitia e-mail yetu (fredmorefinance@gmail.com)

    (fredmorefinance@hotmail.com)

    Nambari ya Whatssap: +919654763221

    Iliingia

    Mkurugenzi

    Mheshimiwa Fred more

    ReplyDelete