title : Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter
kiungo : Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter
Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter
Na Judith Mhina – MAELEZO
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt Detlef Waechter amempongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa kufanikiwa kupambana na rushwa nchin Tanzania na kupata mafanikio makubwa ndani ya kipindi kifupi.
Hayo amesema Balozi Waechter alipofanya mahojiano na Idara ya Habari MAELEZO mapema jana katika hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro Dar-es-salaam Kempinski katika barabara ya Sokoine Jijini Dar-es –salaam.
Akielezea jinsi rushwa ilivyoota mizizi sehemu nyingi ikiwemo Ujerumani amesema “Tatizo la rushwa sio la Tanzania peke yake, hata pale Ujerumani lipo japo si kwa kiasi kikubwa, bali kila mara serikali inapaswa kujiangalia na kuhakikisha inapambana na mfumo wa rushwa mahala popote. Ili raia wako wawe na imani na serikali yako”
Kwa dhati kabisa nampongeza Rais Magufuli kwani hali ilikuwa sio nzuri kulingana na ripoti tuliyoisikia wakati wa Mkutano wa 38 wa Bara la Afrika wa Kuthibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya miezi mawili iliyopita. Uwepo wa rushwa Tanzania ilikuwa ni eneo linalotumiwa katika kupitisha madawa hayo ambapo sasa suala hili limepungua kwa kiasi kikubwa kutokanana juhudi za Rais Magufuli.
Akielezea ubaya wa rushwa Balozi Waechter amesema kuwa matatizo ya rushwa yanarejesha nyuma maendeleo kwa kuwa watu hawapati huduma wanazostahili kwa kuwa tu kuna wengine wanatumia rushwa. Halikadhalika uwepo wa rushwa unaondoa uaminifu kutoka Taifa moja kwenda linguine au nchi moja kwenda nyingine.
Ukiangalia maeneo ambayo hayana utulivu na amani, inatokana na kushamiri kwa rushwa na kuwa na serikali ambazo hazisimamii vema huduma kwa wananchi wake. Hili ni tatizo kubwa lililokumba nchi za kiafrika ambazo raia wake kila siku wanatafuta njia ya kuelekea Ulaya.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>

Hivyo makala Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter
yaani makala yote Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ujerumani-yampongeza-rais-magufuli-kwa.html
0 Response to "Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter"
Post a Comment