Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo

Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo
kiungo : Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo

soma pia


Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo

MWAMBAWAHABARI 

Kijana wa Skauti akimvisha skafu Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Ilala Saddy Kimji shule ya sekondary Uhuru Wasichana Dar es Salaam leo wakati wa Mahafali ya tisa ya Shule hiyo



Diwani wa Kata ya Ilala Sady Kimji akipata maelezo chumba cha Mahabara, kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya sekondary Uhuru Mchanganyiko Dar es Salaam leo , wakati wa Mahafali ya tisa ya kidato cha nne.PICHA NA HERI SHAABAN



Na Heri Shaaban

DIWANI wa Kata ya Ilala Saddy Kimji awataka wanafunzi kuzingatia masomo  kwa kushirikiana na wazazi na Walimu katika kukuza taaluma.

Diwani Saddy aliyasema hayo Dar es salaam wakati wa mahafali ya tisa ya kidato cha nne shule ya sekondari Uhuru Mchanganyiko .

"Nawaomba walimu na wazazi mshilikiane kwa pamoja katika kukuza taaluma kwani shule yenu kitaaluma ipo vizuri pia tuunge mkono juhudi za Rais wa awamu ya tano mpango wa elimu bure"alisema Saddy.

Saddy alisema alipongeza Bodi ya shule ,walimu, wazazi na wadau wa sekta ya elimu kwa kuilea shule vizuri pamoja na serikali kwa kutekeleza elimu bila malipo.

Aidha  aliwataka wanafunzi kuendeleza nidhamu na maadili mema ya shule wasitumike ovyo wala kujingiza katika uvutaji bangi na Madawa ya kulevya .

Pia aliwataka wazazi na Bodi ya shule hiyo kwa ushirikiano wa Walimu waendelee kusimamia kwa ajili ya kuleta maendeleo ya shule ya sekondari ya Uhuru Mchanganyiko.

Kwa upande wake Mkuu wa shule hiyo Abeid Kamugisha alielezea mafanikio ya shule Sekondari Uhuru Mchanganyiko alisema mwaka 2017 matokeo ya kidato cha nne shule  ilifaulisha kwa kiwango cha asilimia 74 kwa daraja la kwanza na hadi la nne.

Kamugisha alisema kwa mwaka 2016 shule hiyo ilfaulisha kwa asilimia 51daraja la nne sawa na ongezeko la asilimia 22.7 katika mtihani wa mock kiwilaya  Manispaa ilishika nafasi ya 15 katika shule 50.

Kwa upande wa wanafunzi wa kidato cha pili ambao wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa Novemba matarajio watafanya vizuri kwani mwaka 2016 walifaulu kwa asilimia 61 .7 mwaka 2017 84.4.

Alisema shule ina madarasa 12 walimu 41 wanaume 17 wanawake 24 na mahabara tatu ya masomo ya Biolojia,Kemia,fizikia


Hivyo makala Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo

yaani makala yote Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/diwani-wa-ilala-saddy-awataka-wanafunzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Diwani wa Ilala Saddy awataka wanafunzi kuzingatia masomo"

Post a Comment