SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA
kiungo : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA

soma pia


SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akielezea masuala mbalimbali ya shirika hilo, katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU). Wa pili kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akifafanua jambo katika mkutano huo, na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (hayupo pichani), wakati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, katika mkutano huo, leo, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwa waandishi wa habari na Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo leo, jijini Dar es Salaam.
Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mipango ya kujizatiti kimataifa kwa shirika lake hilo.


Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA

yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/shirika-la-posta-tanzania-tpc_13.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA"

Post a Comment