RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS

RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS
kiungo : RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS

soma pia


RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” kwa kurudi na Kombe la Ubingwa wa Jumuiya ya Africa Mashariki kutoka Burundi na kuwataka kudumisha nidhamu mpaka kwenye klabu zao.

Rais wa TFF Ndugu Karia amesema nidhamu ndio msingi wa mafanikio ambayo yanapatikana kwenye mashindano mbalimbali.

Amewataka kwenda na nidhamu hiyo mpaka kwenye ngazi ya klabu ambako wanarudi sasa baada ya kumaliza majukumu ya timu ya Taifa na waepukane na tabia hatarishi.

“Mafanikio mnayoyapata msingi wake ni nidhamu mliyonayo nashukuru sijawahi kusikia nidhamu mbaya katika timu hii,ni vyema pia mkajiepusha na tabia hatarishi” alisema Rais wa TFF Ndugu Karia.

Wakati huohuo Rais wa TFF Ndugu Karia amesema Shirikisho litafanya mpango wa kutafuta mechi za kirafiki na mataifa yenye ushindani ili kuimarisha kikosi hicho cha Twiga Stars.

Amesema mechi hizo zitakuwa dhidi ya mataifa ambayo yamekuwa kikwazo kwa Tanzania.

Wachezaji wa kikosi cha Twiga Stars wameruhusiwa kurudi kwenye timu zao mpaka hapo watakapoitwa kwa maandalizi ya mechi mbalimbali.



Hivyo makala RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS

yaani makala yote RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-karia-aipongeza-twiga-stars.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS KARIA AIPONGEZA TWIGA STARS"

Post a Comment