title : PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA
kiungo : PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA
PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MJUKUU wa mfalme wa Uingereza Prince Willium ametembelea hifadhi ya Mkomazi iliyopo Tanga na hii ni katika ziara yake ya siku 7 kwa nchi za Tanzania, Kenya na Namibia.
Akiwa katika hifadhi hiyo Prince alifanikiwa kujifunza zaidi namna faru weusi wanavyolinda na kuongezeka zaidi, ambapo imeelezwa kuwa faru hao hupungua kutokana na ujangili na ongezeko la watu nchini.
Pia amejifunza namna faru hao wanavyoongezeka kwa kuzaliana na hadi sasa kuna takribani ya faru wasiopungua 50 katika hifadhi hiyo na wataalamu mbalimbali wamesema kuwa wanapiga vita na kuimarisha sekta ya ulinzi ili kuweza kukomesha ujangili unaopunguza wanyama mbugani.
Aidha katika ziara hiyo katika hifadhi hiyo Prince ameshuhudia namana watoto wanavyopewa elimu kuhusiana na utunzaji wa wanyama na baadaye kujiunga katika timu za ulinzi kwa wanyama.
Prince Willium ametembelea baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania akiwa Rais wa mashirika yanayotetea uhifadhi wa wanyama ya "United for Wildlife" na "Tusk Trust" na akiwa nchini alipokelewa Ikulu na Rais Dkt. John Magufuli na Waziri mwenye dhamana hiyo Dkt. Hamis Kigwangala.
Hivyo makala PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA
yaani makala yote PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/prince-willium-atembelea-hifadhi-ya.html
0 Response to "PRINCE WILLIUM ATEMBELEA HIFADHI YA MKOMAZI, AJIFUNZA NAMNA FARU WEUSI WANAVYOTUNZA"
Post a Comment