MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI
kiungo : MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI

soma pia


MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei (kulia) wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay na wapili kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambaba.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akipokea sehemu ya vitendea kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei (wa tatu kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, (wa pili kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Huduma Shirikishi), Dora Ngaliga (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu, Timoth Fasha (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambaba, baada ya kuwasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018.


Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI

yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mkurugenzi-mtendaji-mpya-wa-benki-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI"

Post a Comment