Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha
kiungo : Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha

soma pia


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha

Wachezaji wa Taekwondo Polisi Arusha wakimuonesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhani Ng'anzi moja kati ya show ya Mchezo huo.

Na Gasto Kwirini wa Polisi Arusha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi leo ametembelea mazoezi ya Timu  ya Taekwondo ya Polisi Mkoa wa Arusha yanayofanyika kila siku iioni katika Dojo lilipo Kambi ya Polisi New Line Arusha. 

Alipata fursa ya kuona sehemu ya Mazoezi (Gym), Onesho (Show) ya Taekwondo pamoja na changamoto zilizopo katika Timu hiyo. Aidha amewapongeza wachezaji wa timu hiyo walioshiriki katika Michezo ya Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (EAPCCO) yaliyofanyika  Mkoani Dar es Salaam na kupata Medali mbili ya Shaba na Fedha. 

‘‘Leo nimehamasika kuungana na mazoezi haya hasa kwa kuzingatia yanatija katika kazi yetu, Kwa sababu lengo la mchezo huu ni kujenga ukakamavu na kujilinda binafsi. Kuanzia wiki ijayo nitajumuika nanyi, mwisho wa siku na mimi nivae mikanda kama yenu’’. Amesema Kamanda Ng’anzi.

Pamoja na mambo mengine amehaidi kuzifanyia kazi changamoto walizo nazo hasa la vifaa na muda wa Mazoezi kuingiliana na Ratiba za kazi. Alisema atakaa na viongozi  wenzake kuona jinsi ya kutatua changamoto hizo.

Awali akitoa historia fupi ya Timu, Kocha wa Timu hiyo Shija Makoye alisema timu hiyo inahusisha jumla ya wachezaji kumi na tano (15) ambapo wanapata fursa ya kujifunza mbinu mbalimbali za kujijengea ukakamavu na uwezo binafsi wa kujilinda pindi wanapokabiliana na Adui. Pia  alimweleza changamoto mbalimbali ambazo timu hiyo inakumbana nazo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi akijaribu moja kati ya vifaa vya mazoezi vilivyo katika GYM ya Polisi Arusha. Kushoto kwake ni Kocha wa Timu hiyo Shija Makoye
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi akisisitiza jambo wakati akiongea na Wachezaji hao.


Hivyo makala Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha

yaani makala yote Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kamanda-wa-polisi-mkoa-wa-arusha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha atembelea Mazoezi ya timu ya Taekwondo Polisi Arusha"

Post a Comment