Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila

Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila
kiungo : Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila

soma pia


Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila

Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakisaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakionyesha nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam
Maofisa kutoka Makao Makuu ya Polisi na viongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam

Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakizungumza baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.(Picha na Jeshi la Polisi)


Hivyo makala Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila

yaani makala yote Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/hospitali-kuu-yactaifa-muhimbili-watoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Hospitali Kuu yacTaifa Muhimbili Watoa Kiwanjo Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila"

Post a Comment