title : *UTALII WAIMARIKA ARUSHA*
kiungo : *UTALII WAIMARIKA ARUSHA*
*UTALII WAIMARIKA ARUSHA*
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru *Mh. Jerry Muro* leo amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha *Mh. Mrisho Gambo* katika kufunga mkutano wa wadau wa sekta ya Utalii.
Akifunga mkutano huo *Mh.Muro* amesema tayari serikali ya Mkoa imeanza kutatua changamoto zilizokuwa zinakabili wadau wa sekta ya Utalii ikiwemo adha ya kusimamishwa mara kwa Mara na *askari wa usalama barabarani*.
Pamoja na hayo pia serikali ya Mkoa imeanza kushughulikia Masuala ya kisera ambayo yalikuwa ni changamoto katika uendeshaji washughuli za Utalii
Katika masuala ya usalama *Mh Muro* kasema tayari Mkoa umeanza kutekeleza maoni ya wadau wa sekta ya Utalii yananyohusiana na watalii kwa kufungua *Kituo cha Polisi chenye hadhi ya kimataifa ( Diplomatic )* kwa ajili ya kushughulikia masuala yote ya kiusalama yanahusiana na watalii
Akihitimisha hotuba yake *Mh Muro* amewakaribisha wadau wa sekta ya Utalii kuwekeza katika maeneo yanazunguka Mlima meru
Uliopo Wilaya ya Arumeru ambao ndio Mlima wa pili Tanzania kwa Urefu.
*Mh Muro* amemaliza kwa kusema Mkoa wa Arusha uko tayari kupokea na kuandaa mkutano Mkubwa wa kitaliii mwezi September mwaka huu.
#WakatiWetu #TanzaniaYetu #ArumeruYetu
Hivyo makala *UTALII WAIMARIKA ARUSHA*
yaani makala yote *UTALII WAIMARIKA ARUSHA* Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala *UTALII WAIMARIKA ARUSHA* mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/utalii-waimarika-arusha.html
0 Response to "*UTALII WAIMARIKA ARUSHA*"
Post a Comment