UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF

UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF
kiungo : UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF

soma pia


UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamii

UPANDE wa mashtaka katika kesi ya kugushi na utakatishaji wa fedha inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF Jamal Malinzi na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusimamisha ushahidi uliotolewa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidau ili waweze kumuita mtaalam wa Sayansi ya Tehama kutoa nyaraka za email alizozitoa katika kompyuta na kuchapisha(print).

Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru), Leornad Swai ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, kesi hiyo ilipopangwa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa ushahidi wa Kidao.Swai amedai kesi hiyo ilipangwa kuendelea kusikilizwa, lakini imewapasa kumtumia Mtaalam wa Sayansi ya Tehama kwa kuwa yeye ndiyo aliyeta email katika kompyuta, kuichambua na kuichapisha (Print).

Na kuongeza kuwa wamefanya tafiti katika ushahidi wa vielelezo vya kielektloniki na kwamba ili kujenga msingi wa ushahidi wanaoutoa kutokana na maelekezo ya sheria ni vema wakasimamisha kwanza ushahidi uliopo ili mtu huyo aweze kutoa hizo nyaraka.Amedai kuwa, mtu huyo anauwezo wa kuitoa mahakamani kama sehemu ya kielelezo cha ushahidi na mashahidi wengine kuielezea.



Hivyo makala UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF

yaani makala yote UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/upande-wa-mashitaka-waiomba-mahakama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UPANDE WA MASHITAKA WAIOMBA MAHAKAMA KUSIMAMISHA USHAHIDI ULIOTOLEWA NA KATIBU MKUU TFF"

Post a Comment